This is official Blog for Kigoma Elimu Foundation, which will share information on foundation activities and education in general. Managed by KIEF IT Department
OFISI YA KIEF NA ENEO LA MRADI
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
ENEO LA MRADI NA OFISI YA KIGOMA ELIMU FOUNDATION (KIEF)
Eneo La Mradi ni Shule ya Msingi Ujiji na Ofisi za KIEF zipo Mtaa wa Lumumba/Buhoro, mkabala na Uwanja wa Kawawa, Manispaa ya Kigoma Ujiji
Wajumbe wa KIEF wakiwa kwenye kikao cha kawaida kwa ajili ya kupanga shughuli mbali mbali za KIEF. Kikao kilifanyika tarehe 3/12/2017 kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Mradi wa Masomo ya Ziada kwa shule za sekondari ambao umeanza tangu 16/10/2017 katika eneo la Mradi shule ya Msingi Ujiji
Wajumbe wa KIEF wakiendelea na kikao cha maandalizi ya program ya masosmo ya ziada inayotarajiwa kuanza mwezi wa Kumi katika kituo cha shule ya msingi Ujiji.
Wanafunzi wote waliochukua fomu na kuzirejesha za kujiunga na masomo ya ziada ktk Mradi unaodhaminiwa na Asasi ya KIEF mnaarifiwa kuwa masomo yataanza rasmi J umatatu Tarehe 16/10/2017 Saa 10 Jioni Shule ya Msingi Ujiji. Wanafunzi na wazazi/walezi wa wanafunzi hao mmetumiwa ujumbe kwenye Namba za simu mlizojaza kwenye fomu. Ujumbe huo umewajulisha juu ya kuchaguliwa kwenu kujiunga na program hii maalumu. KIEF inawapongeza wote walichaguliwa na pindi nafasi zikiongezeka, wale walioomba awamu hii watahudumiwa kwanza.
Maoni
Chapisha Maoni