TAARIFA YA KUANZA KWA MRADI WA MASOMO WA KIEF TAREHE 16-10-2017

Wanafunzi wote waliochukua fomu na kuzirejesha za kujiunga na masomo ya ziada ktk Mradi unaodhaminiwa na Asasi ya KIEF mnaarifiwa kuwa masomo yataanza rasmi Jumatatu Tarehe 16/10/2017 Saa 10 Jioni Shule ya Msingi Ujiji.
Wanafunzi na wazazi/walezi wa wanafunzi hao mmetumiwa ujumbe kwenye Namba za simu mlizojaza kwenye fomu.
Ujumbe huo umewajulisha juu ya kuchaguliwa kwenu kujiunga na program hii maalumu.
KIEF inawapongeza wote walichaguliwa na pindi nafasi zikiongezeka, wale walioomba awamu hii watahudumiwa kwanza.

Maoni

  1. Binafsi Napongeza Kila Juhudi...
    Muhimu Founder,na Organizer mzidi Kushikamana Bila Kuingiza Ideology za Kisiasa au Utofauti Wowote

    Mkoa Wetu Utazidi Kupaa,Mungu Azidi Kuwaongoza!!!

    JibuFuta
  2. Binafsi Napongeza Kila Juhudi...
    Muhimu Founder,na Organizer mzidi Kushikamana Bila Kuingiza Ideology za Kisiasa au Utofauti Wowote

    Mkoa Wetu Utazidi Kupaa,Mungu Azidi Kuwaongoza!!!

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii