MHANDISI MBAROUK MAKUKA KATIKA HARAKATI ZA KULIPIA ANKARA YA TANESCO KWA AJILI YA UJIJI PRIMARY LEO TRH 12-10-2017

Picha mbalimbali zikimuonyesha Mhandisi Mbarouk Makuka wakati wa harakati ya kulipia gharama za kuunganisha umeme kwenye shule ya Msingi Ujiji iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji. Msaada wa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 320,000 zimetolewa na wadau wa KIEF kupitia mwana KIEF Husna Sungura kwa ajili ya kugharamia mchakato huo.
KIEF inatanguliza shukurani kwa Wadau wanaotuunga mkono.





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii