MAKABIDHIANO YA MALIPO YA KUUNGANISHA UMEME SHULE YA MSINGI UJIJI LEO TRH 12-10-2017

Mapema leo hii  tarehe 12-10-2017 Mhandisi Mbarouk Makuka,(pichani kulia) Mratibu wa muda wa Asasi ya kielimu ya Kigoma Elimu Foundation (KIEF) yenye maskani yake katika viunga vya Manispaa ya Ujiji -Kigoma akimkabidhi  Mkuu wa Shule Ndugu Moses Wilbroad (pichani kushoto) h320,000/= kwa ajili kuvuta umeme katika majengo ya shule ya msingi Ujiji

ati ya malipo ya shilingi za Tanzania

Fedha hizo zimetolewa na wana Asasi hiyo ikiwa ni sehemu ya kusaidia kusukuma gurudumu la MAENDELEO ya Taaluma ya mkoa wa Kigoma.

Tunakushukuruni kwa kuendelea kujinyima na kusaidia wadogo zetu waweze kufanya vema katika masomo yao.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii